Mahojiano ya Uraia wa USCIS – Siku ya Mtihani (Kiswahili)
Mchakato hatua kwa hatua kutoka kuwasili hadi uamuzi. Bonyeza hatua zilizoangaziwa kufanya mazoezi.
1
Ingia na Umsubiri Mkalimani Kabla ya Kusajiliwa.
Mkalimani atakapofika atakusajili · Andaa Nyaraka Zako Zote
2
Ukifika kwenye chumba cha mahojiano, afisa atakuomba kwanza ula kiapo cha kusema ukweli bila uongo wala udanganyifu.
Kumbuka kwamba hii ni wakati wa kusema ukweli — mara nyingi maafisa wanauliza maswali ambayo tayari wanajua majibu yake ili kupima uaminifu wako. Uongo hata mdogo unaweza kusababisha kukataliwa mara moja kwa uraia.
Kula Kiapo cha Kusema Ukweli
3
UKAGUZI WA HATI ZA DAKTARI
Afisa anaanza kwa kukagua hati za daktari zinazoonyesha uwezo mdogo wa akili,
ambao unaokuruhusu kutojifunza Kiingereza kwa sasa. Afisa ndiye anayeamua kukubali au kukataa hati hizo.
Matokeo yanayowezekana
4
ZIKIKUBALIWA
Unaendelea moja kwa moja kwenye maswali ya uraia kwa Kiswahili
5
ZIKIKATALIWA
Mahojiano yanaisha. Unaambiwa kurudi kwa daktari ili asahihishe hati, kisha miadi mpya itapangwa baada ya siku 60.
7
Ukaguzi wa ombi lako na uthibitisho wa ustahili. Mambo yasiyokamilika yanaweza kusahihishwa papo hapo au kuhitaji nyaraka zaidi.
Afisa anatathmini pia tabia ya kiraia na maadili.
Afisa anatathmini pia tabia ya kiraia na maadili.
Matokeo yanayowezekana
✓
UMEFAULU
Maswali yaliyojibiwa vizuri
Ombi limekamilika. Hakuna tatizo la maadili.
Ombi limekamilika. Hakuna tatizo la maadili.
8
Sherehe ya Kiapo cha Uraia
Kupokea Cheti cha Uraia
~
INAENDELEA
Ukifaulu lakini nyaraka au taarifa zinazokosekana zinagunduliwa kwenye ombi,
unaulizwa kuzitoa ndani ya siku 30.
Ukaguzi wa Nyaraka Zinazokosekana
Nyaraka zikiwasilishwa kwa wakati, zinakaguliwa na uamuzi wa mwisho unafanywa.
✓ Imekubaliwa
Sherehe ya Kiapo cha Uraia
✗ Imekataliwa
Unaweza kuwasilisha rufaa ndani ya siku 30 au ombi jipya la uraia.
✗
Imekataliwa
Unaweza kuwasilisha rufaa ndani ya siku 30 au ombi jipya la uraia.